Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

Rubi wa bongo Flava mbaya kinoma. Anavyoringa na kujisikia unasema huyu angekuwa mzuri sijui ingekuwaje?
Mungu anisamehe.
 

Na dharau na jeuri je navyo wapenda pia ?
Maana huwa vinaendaga sambamba .
 
Ni wazuri kweli
Na hawaringi kweli

Lakini ni kweli pia wanalika kirahisi sanaaa.
Ukioa kule kua makini(unaezapata wakueleweka), ila utasaidiwa sana
 
Wenyewe sio wachoyo wa K.

Akikuahidi ni saa Tisa mchana.

Ikitokea umebanwa na hujamtafuta.

Yeye mwenyewe anakutafuta huo muda kukukumbusha kua muda umefika ,umeshandaa mazingira ? Anataka kuja.
Yani uko sahihi 100%
 
Ni wazuri kweli
Na hawaringi kweli

Lakini ni kweli pia wanalika kirahisi sanaaa.
Ukioa kule kua makini(unaezapata wakueleweka), ila utasaidiwa sana
Ni wazuri hawajui kukataa ila ni Wakolofi sana! Warahisi kumkubali Mwanaume pia kuachana na Mwanaume ni haraka na kawaida kwao
 
Wasukuma wakifika huko watahonga zizi lote.
Maana haya majamaa ni heri uchezee mke wake kuliko binti yake mweupe. Usukumani binti akiwa mweupe anaozeshwa kwa ng'ombe nyingi kuliko mweusi.
 
Saitaa
 
Kwanza waliniongopea waIraqw wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…