Dotto C. Rangimoto JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,985 Reaction score 1,286 Mar 4, 2014 #1 Wanawake, wataka kama mwenyekiti akiwa mwanaume basi makamu awe mwanamke,,,,,bunge limewakas moto hapa,,,,
Wanawake, wataka kama mwenyekiti akiwa mwanaume basi makamu awe mwanamke,,,,,bunge limewakas moto hapa,,,,
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Mar 4, 2014 #3 Kinacho endelea bungeni hivi sasa, wamama wote wamesimama hali imechafuka, Mwenyekiti anawasihi wakae. Wanawake wanataka haki sawa
Kinacho endelea bungeni hivi sasa, wamama wote wamesimama hali imechafuka, Mwenyekiti anawasihi wakae. Wanawake wanataka haki sawa
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 585 Mar 4, 2014 #4 Mambo ya beijing yanarudi mbona watakoma huko mjengoni.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Mar 4, 2014 #5 Wamegoma kukaa
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Mar 4, 2014 #6 Hili bunge imekuwa utoto mwingi sana.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Mar 4, 2014 #7 Wanataka HAKI kama mwenyekiti akichaguliwa mwanaume basi makamu mwenyekiti awe mwanamke.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Mar 4, 2014 #8 ndio shida ya kujaza machangu bungeni, kwani wamekatazwa kugombea?
Dotto C. Rangimoto JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,985 Reaction score 1,286 Mar 4, 2014 Thread starter #9 Tunataka haki yetu,,,huu ni upuuzi.
M mwikumwiku Senior Member Joined Jul 15, 2011 Posts 153 Reaction score 35 Mar 4, 2014 #10 Hawana hoja yoyote kisheri kwa kuwa jinsi si kigezo cha katika kupata nafasi hizo. Wakipitisha hilo wanaenda kinyume na sheria
Hawana hoja yoyote kisheri kwa kuwa jinsi si kigezo cha katika kupata nafasi hizo. Wakipitisha hilo wanaenda kinyume na sheria
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Mar 4, 2014 #11 Nimeona wanaimba wanataka haki yao, duu hili bunge hili!
Mwammbelo JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 352 Reaction score 162 Mar 4, 2014 #12 hizi dharau sana
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Mar 4, 2014 #13 Mwenyekiti anajaribu kutumia busara kupoza zogo lililoibuka
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Mar 4, 2014 #14 Fatilia mwenyewe hapa StarTV Live | StarTV
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,063 Reaction score 6,405 Mar 4, 2014 #15 Skype said: Wamegoma kukaa Click to expand... Ati nini? Wanagoma kukaa du hatare
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,635 Reaction score 3,656 Mar 4, 2014 #16 Kwani kigezo ni gender ? Mtikila aliyaona haya mapema mno....
gulio JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 296 Reaction score 68 Mar 4, 2014 #17 Kukosa usimamizi bora wa utaratibu matokeo ndiyo hayo.
H hajoma Member Joined Jul 21, 2009 Posts 86 Reaction score 27 Mar 4, 2014 #18 kwa nini wanaonesha unyonge? kwa nini isiwe mwanamke akichaguliwa mwenyekiti.. makamu awe mwanaume. Ina maana wanauhakika mwenyekiti atakuwa mwanaume?
kwa nini wanaonesha unyonge? kwa nini isiwe mwanamke akichaguliwa mwenyekiti.. makamu awe mwanaume. Ina maana wanauhakika mwenyekiti atakuwa mwanaume?
MoPlan JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 907 Reaction score 661 Mar 4, 2014 #19 CCM walipalilia huu upuuzi wenyewe kwa Anna Makinda,sasa hapo anapigiwa mtu chapuo hata kama uwezo ni hovyo lakini atapewa!!
CCM walipalilia huu upuuzi wenyewe kwa Anna Makinda,sasa hapo anapigiwa mtu chapuo hata kama uwezo ni hovyo lakini atapewa!!
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Mar 4, 2014 #20 Huu ni ujinga wanatak haki sawa au wanataka upendeleo!? wangefany hayo iwapo wamezuiwa kugombea. Waseme wanataka upendeleo tu.
Huu ni ujinga wanatak haki sawa au wanataka upendeleo!? wangefany hayo iwapo wamezuiwa kugombea. Waseme wanataka upendeleo tu.