Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ujinga wanatak haki sawa au wanataka upendeleo!? wangefany hayo iwapo wamezuiwa kugombea. Waseme wanataka upendeleo tu.
Yamezoea viti vya chu.pi mapuuzi haya! Yanashindwa nini kwenda kugombea? Hayana uwezo! Poor women. Itachukua muda kujikomboa hawa ma.la.ya!
Hoja ya Wenje imejieleza vizuri sana na kwa hakika kama mwenyekiti angekuwa na busara basi angechukua hoja ya Wenje.
Hoja yenyewe ilikuwa ni kwamba, mwenyekiti, makamu mwenyekiti au kiongozi yeyote asichaguliwe kwa kuangalia jinsia yeke, bali uwezo wake.
Hoja ya Wenje imejieleza vizuri sana na kwa hakika kama mwenyekiti angekuwa na busara basi angechukua hoja ya Wenje.
Hoja yenyewe ilikuwa ni kwamba, mwenyekiti, makamu mwenyekiti au kiongozi yeyote asichaguliwe kwa kuangalia jinsia yeke, bali uwezo wake.
Ni lini Migiro aliwahi kugombea uongozi zaidi ya kuishi kwa teuzi tu? na yeye ni walewale anapigia debe mfumo wa kubebwa unaombeba mpaka leo from UN failure to waziri wa sheria na katiba. only in Tanzania.nini msimamo wa wanawake wasomi kaka prof tibaijuka na Dr migiro?au na wao mule mule tu akina vicky kamata
Wanawake wapo sahihi si haki sawa maccm yanajichangaya
JK anasema ni zamu ya wanawake, leo vipi tena?
Kwani kule Ujerumani yule Chancellor Angel Mickael ni wa viti maalum? halafu wakifika nyumbani ndio wanatambuwa kwamba baba ndio kichwa kila aina ya matumizi baba ndio anagharamia. wanafki sana hawa nyoka wanaoitwa Eva.ni kweli kabisa hoja ya Wenje ilikuwa ipo wazi kwamb kama mwanamke ana uwezo agombee na mwanaume kama ana uwezo nae agombee so ni kuangalia uwezo na si jinsia.
tuna kazi ... sipati picha siku ya kudai tanganyika watu watapanda juu ya mezaKwa maoni yangu,hoja ya kuchagua mtu kutokana na jinsi,umri,urefu,umbo na kadhalika ni hoja mfu. Yeyote achaguliwe popote kwa sifa na hoja alizonazo.
Mzee Tupatupa
tuna kazi ... sipati picha siku ya kudai tangayika watu watapanda juu ya meza