Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Mbona panatosha vizuri tu we unasema bunge gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo anauwezo mzuri sana wala usihofu ndugu.hapa ni mazingaombwe tu. walianza kama mwenyekiti akitoka bara basi makamu atoke zenji,leo wanakuja la hili.
hapo inaonyesha makamu atatoka zenji na atakuwa mwanamke?JE kuna mwanamke katika hao wajumbe kutoka zenji mwenye uwezo na vigezo vya kuwa makamu au ndio tutachagua tu for the sake of gender balance?
hawakawii kuweka na udini hapa
tuna kazi ... sipati picha siku ya kudai tangayika watu watapanda juu ya meza
ndio shida ya kujaza machangu bungeni, kwani wamekatazwa kugombea?
Hiyo siku bunge litawaka moto na mjadala kuhusu serikali tatu
Yupo anauwezo mzuri sana wala usihofu ndugu.
Kwa sababu hili ni bunge la katiba na hawa wamama wameamuwa kutumia vijambio kufikiri basi wasiishie hapo bali hata Rais akiwa mwanaume basi makamu awe mwanamke na kinyume chake. Hatuhitaji tena vigezo vya uongozi nchi hii.Wanataka HAKI kama mwenyekiti akichaguliwa mwanaume basi makamu mwenyekiti awe mwanamke.
Kwa bandiko hili uwe tayari kuitwa majina yote ya kejeri na wale waislamu fake wa hapa JF.No offence, lakini tatizo lingine linaloendelea hivi sasa bungeni ni kutoka toka kwa ndugu zangu waislamu.
Binafsi ni muislamu, na tunatambua wazi kama kuna jambo la dharura limejitokeza, basi imani yeti inaturuhusu kufanya ibada baadae nje na ule muda wetu maalumu.
Sasa kwa hali hii ya ndugu zangu kutoka na kuliacha bunge linaendelea watakuwa na tija gani kwa taifa?! Kwenye hili ndugu zangu hawa sidhani kama wametumia hekima kuamua.
Mangapi tunafanya na kuacha ibada haswa ya adhuhuri (saa 7)? Sembuse kuvumilia bunge maalumu la katiba kwa ajili ya maslahi ya taifa?
No offence, lakini tatizo lingine linaloendelea hivi sasa bungeni ni kutoka toka kwa ndugu zangu waislamu.

Binafsi ni muislamu, na tunatambua wazi kama kuna jambo la dharura limejitokeza, basi imani yeti @inaturuhusu kufanya ibada baadae nje na ule muda wetu maalumu.
Sasa kwa hali hii ya ndugu zangu kutoka na kuliacha bunge linaendelea watakuwa na tija gani kwa taifa?! Kwenye hili ndugu zangu hawa sidhani kama wametumia hekima kuamua.
Mangapi tunafanya na kuacha ibada haswa ya adhuhuri (saa 7)? Sembuse kuvumilia bunge maalumu la katiba kwa ajili ya maslahi ya taifa?
Kwani kigezo ni gender ? Mtikila aliyaona haya mapema mno....
Kwani kule Ujerumani yule Chancellor Angel Mickael ni wa viti maalum? halafu wakifika nyumbani ndio wanatambuwa kwamba baba ndio kichwa kila aina ya matumizi baba ndio anagharamia. wanafki sana hawa nyoka wanaoitwa Eva.
Kwa bandiko hili uwe tayari kuitwa majina yote ya kejeri na wale waislamu fake wa hapa JF.
Hata mimi najuwa wakati wa Ramadhani ukifungulia unalipiza baada ya mfungo, watu wanacheza na katiba!
Wanawake, wataka kama mwenyekiti akiwa mwanaume basi makamu awe mwanamke,,,,,bunge limewakas moto hapa,,,,