Wanawake wa chachamaa bungeni, Kificho ikabidi asimame

Wanawake wa chachamaa bungeni, Kificho ikabidi asimame

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
Wanawake, wataka kama mwenyekiti akiwa mwanaume basi makamu awe mwanamke,,,,,bunge limewakas moto hapa,,,,
 
Kinacho endelea bungeni hivi sasa, wamama wote wamesimama hali imechafuka, Mwenyekiti anawasihi wakae.
Wanawake wanataka haki sawa
 
Mambo ya beijing yanarudi mbona watakoma huko mjengoni.
 
Wanataka HAKI kama mwenyekiti akichaguliwa mwanaume basi makamu mwenyekiti awe mwanamke.
 
Nimeona wanaimba wanataka haki yao, duu hili bunge hili!
 
Mwenyekiti anajaribu kutumia busara kupoza zogo lililoibuka
 
Kwani kigezo ni gender ? Mtikila aliyaona haya mapema mno....
 
Kukosa usimamizi bora wa utaratibu matokeo ndiyo hayo.
 
kwa nini wanaonesha unyonge? kwa nini isiwe mwanamke akichaguliwa mwenyekiti.. makamu awe mwanaume. Ina maana wanauhakika mwenyekiti atakuwa mwanaume?
 
CCM walipalilia huu upuuzi wenyewe kwa Anna Makinda,sasa hapo anapigiwa mtu chapuo hata kama uwezo ni hovyo lakini atapewa!!
 
Huu ni ujinga wanatak haki sawa au wanataka upendeleo!? wangefany hayo iwapo wamezuiwa kugombea. Waseme wanataka upendeleo tu.
 
Back
Top Bottom