Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Siasa za CCM ni za kipumbavu Sana, zimejaa udhalimu na unyama.Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.
Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?
Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?
Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.
View attachment 1886219
View attachment 1886216
Ni upuuzi mtupu... mtu anaegoma kula anapata wapi nguvu za kuja kuandika utumbo wake hapa jukwaani.Vipi mgomo wao wa kula bado unaendelea?
Serikali ya kinyama sana hii.Siasa za CCM ni za kipumbavu Sana, zimejaa udhalimu na unyama.
Huyu takataka wa kike ni katili sana..Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.
Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume🙄🙄🙄
Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!
Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Hahahah, mlishangilia sana kifo cha JPM mkome pimbi wakubwaInasikitisha sana.
Rest in peace chacha wangwe kutaka kugombea uenyekiti wa chama kumeyagharimu maisha yake.. Ila malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani, mbinguni ni mahesabu tu. Mungu kaamlipia marehemu kwa namna yake.Tuna chama cha mashetani kikichounda serikali ya kishetani.
Mungu wetu tunakuomba Mungu aangamize utawala wa shetani kwa wakati ufaao na kwa namna ifaayo.
eti Mama.Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.
Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume🙄🙄🙄
Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!
Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.
Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume[emoji849][emoji849][emoji849]
Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!
Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.