Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.

Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?

Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?

Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.

View attachment 1886219

View attachment 1886216
Kila ubaya utalipwa
 
Hii nchi ngumu sana,hata malaika akishuka leo akajiunga ccm lazima adadilike awe shetani
 
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.

Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?

Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?

Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.

View attachment 1886219

View attachment 1886216
duh!! kumbe bado ni watoto wabichi wanaenda period mpaka leo.

Wafanye kuwatoa hao warembo mapema, nao wanahitajika kutoa huduma mbalimbali kwa watu mbalimbali na kwa familia.
 
Samia ameprove failure mapema mno. Kutumia madaraka yako makubwa kutesa watu wanaokuchallenge ili kuprove how powerful you are sio udhaifu tu, ni ujinga mkubwa
 
Back
Top Bottom