Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.

Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?

Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?

Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.

View attachment 1886219

View attachment 1886216
Tii sheria bila shuruti
 
Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume🙄🙄🙄

Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Acha matusi kwa raisi wa nchi,mkosoe kistaarabu,vagina yake inaingiaje hapa?be warned
 
Acha matusi kwa raisi wa nchi,mkosoe kistaarabu,vagina yake inaingiaje hapa?be warned
Samia siyo Rais wa Tanzania.Alipora uchaguzi.Hana kibali cha wananchi.Labda ni Rais wako pamoja na familia yako.Period.
7654311.png
 
Rest in peace chacha wangwe kutaka kugombea uenyekiti wa chama kumeyagharimu maisha yake.. Ila malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani, mbinguni ni mahesabu tu. Mungu kaamlipia marehemu kwa namna yake.
Kama ambavyo jiwe la chato limeng'olewa baada ya mauaji ya wasiokuwa na hatia. Mungu aliona atamaliza watu akaamua kumchomoa. Yeyote atakayemwaga damu isiyo na hatia naye yake itamwagika
 
Kama ambavyo jiwe la chato limeng'olewa baada ya mauaji ya wasiokuwa na hatia. Mungu aliona atamaliza watu akaamua kumchomoa. Yeyote atakayemwaga damu isiyo na hatia naye yake itamwagika
Jamaa toka afungwe nchi imekuwa salama, hakuna shule zinazoungua moto, soko la ka'koo kwa sasa kuungua ni mwiko, hakuna matukio ya wanasiasa au watu kujiteka wenyewe ili kutafuta kura za huruma katika uchaguzi mkuu, hakuna watu wanaoingia barabarani kupambana na polisi, yani nchi imepoa sana.. kila mtu anaendelea na shughuli zake za kujitafutia riziki kwa jasho lake.
 
Huyu Samia sasa anajitafutia laana, na hawa polisi wasiojali haki za binadamu ni viumbe wa aina gani? wao hawana wake zao nyumbani? au kama ni wanawake wanajisikiaje kuwafanyia wenzao huo ushenzi?

Katiba Mpya ndio chanzo cha yote hayo, this is unfair.
Laana tupu mkuu
 
Jamaa toka afungwe nchi imekuwa salama, hakuna shule zinazoungua moto, soko la ka'koo kwa sasa kuungua ni mwiko, hakuna matukio ya wanasiasa au watu kujiteka wenyewe ili kutafuta kura za huruma katika uchaguzi mkuu, hakuna watu wanaoingia barabarani kupambana na polisi, yani nchi imepoa sana.. kila mtu anaendelea na shughuli zake za kujitafutia riziki kwa jasho lake.
Na ndiye aliyeingiza corona nchini ikalamba jiwe la chato [emoji16][emoji16]
 
CCM ni majitu ya ovyo kabisa, yapo pale tuu kwa sababu ya wizi wa kura na population iliyojaa wajinga tuu
 
W
Siasa za CCM ni za kipumbavu Sana, zimejaa udhalimu na unyama.
Akipenda raha waache kiherere ili wakae uraiani wajiamukie maisha yao,
Kuna wananwake wengi saana mtaani hawajui hizo tauro za kike na hawawezi kuzinunua sasa hao mbona hamjawahurumia?
 
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.

Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?

Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?

Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.

View attachment 1886219

View attachment 1886216
Simon Siro, kwa hiki kinachofanywa na jeshi unaloliongoza unatafuta laana na balaa kuu ungali bado hapa duniani. Mtu yeyote hana hatia mpaka pale itakapothibitishwa bila shaka yoyote kuwa ana hatia na chombo mahsusi kwa ajili hiyo. Kama binadamu mwenzangu, nakuaasa sitisha aibu na dhuluma hizi, jiepushe wewe na uzao wako na laana isiyosameheka -Dhuluma
 
W

Akipenda raha waache kiherere ili wakae uraiani wajiamukie maisha yao,
Kuna wananwake wengi saana mtaani hawajui hizo tauro za kike na hawawezi kuzinunua sasa hao mbona hamjawahurumia?
Nitaonekana mpuuzi hata kuusoma uharo wako, naenda kujipulizia manukato kwani nahisi kunuka kwa kupitisha macho yangu kwenye andikolako hili la hovyo ajabu
 
Hili suala la udhalilishaji kwenye majela limeongelewa sana lakini wahusika wamekuwa viziwi.
 
Nitaonekana mpuuzi hata kuusoma uharo wako, naenda kujipulizia manukato kwani nahisi kunuka kwa kupitisha macho yangu kwenye andikolako hili la hovyo ajabu
Matakoma sasa maana mama anaupiga mwingi, sasa mechi imegeuka upande mwingine, nadhani washabiki wanahitaji uvumilivu tu.

Nyie nyumbu miaka yote mnalalamika tu mnataka nini ili mtulie?
Litoto likorofi viboko saizi yake hawezi kuvikwepa mpaka aache ukorofi.
 
Hahahah, mlishangilia sana kifo cha JPM mkome pimbi wakubwa

Nani alishangilia mkuu? Utakuwa unachanganya mambo ,hakuna mtu anayeshangilia kifo cha mtu mwingine labda awe mchawi....Watz labda walifurahi kuondoka kwa awamu ya 5 chini ya JIWE na sio kufurahi kifo cha JIWE.
 
Samia siyo Rais wa Tanzania.Alipora uchaguzi.Hana kibali cha wananchi.Labda ni Rais wako pamoja na familia yako.Period.
View attachment 1886261
Narudia huyu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania🙏.Unazo Haki zako za kikatiba,kumshauri na kuzungumza naye,she is open for every civil discussion,Ila usilete dharau na matusi🙏speak your point utasikilizwa ,Kama Lina mashiko linafanyiwa kazi, mengine yanaweza kuwa na mashiko Ila muda na resources haziruhusu🙏 express yourself kistaarabu🙏good evening🙏👊🏼.
 
Back
Top Bottom