Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

Jibu maswali yangu ya msingi kwanza:Mtu ambae kwa kinywa chake alikiri mbele ya umma wa Watanzania kuwa atapora uchaguzi anakuwaje ni Rais wa Tanzania?Mtu ambae hana kibali cha wananchi anakuwaje ni Rais wa Watanzania?
 
View attachment 1886364
Iulize katiba yako!ambayo kwa Sasa hatuna muda Wala resources za kufanikisha hayo kwa Sasa🙏muda muafaka ukifika tutafanya🙏
 
Subiria wapate Moto ili wapikwe vizuri wanaandaliwa kushika hatamu za Mana.
Utakulaje asali bila ya kung'atwa na nyuki ama walimwengu walijua kuwa ni nyuki insekta jamani.
Si umejitolea kuwa u mtetezi wetu unyama kidogo unajiliza kutaka huruma ya Uno USA uk nodic countries na huku unajinasibu kuwa uu kamanda.
Haupo imara kuongoza wananchi Mana Kama kidogo unajiliza ukubwa utakujaje Sasa jamani
 
Tanzania ni nchi ya Amani sana.Ukifanya biashara yoyote,au kazi yoyote ya ufundi,kama ufundi bomba,ufundi magari,ufundi pikipiki,bodaboda,mama lishe au baba lishe,ukiwa na genge la kuuza nyanya,machungwa,mboga mboga,matunda,zabibu au ushonaji wa nguo au kazi yoyote ile,unapata faida nzuri na muendesha maisha,kuliko kupoteza wakati kwa mambo ya kipuuzi.Kuna wanawake wengi,wako masokoni,wanajua bidhaa kwa bei ya jumla,na kuuza reja reja,na wanapata faida nzuri tu.
Kuna nchi nyingine,kama Sudan,Somalia, Liberia,Ethiopia Nigeria Yemen,huwezi kufanya biashara yoyote,kutokana na kukosa Amani,na nchi kuwa jangwa,hakuoti mazao yoyote.Tanzania ni nchi ya Amani,ndugu zanguni,vijana,wanawake,wazee zifanyieni kazi fursa za kibiashara,kilimo,ufundi,ufugaji.Kuna watu wapo masokoni,Wana mashine za kukujia nazi za umeme,mpaka jioni hakosi 50,000 mpaka 100,000.Tumieni fursa.Mbali ya wanaouza mifugo,kama kuku,mbuzi,ng'ombe,maziwa ya ngo'mbe, nk.
 
Mkuu sisi wengine tumekubali kuuza utu wetu kwa sababu ya njaa zetu, kwahiyo ni lazima tumtetee Mbowe kwa hali na mali ili mkono uende kinywani. Hizo biashara na ajira zako, wape ndugu zako
 
Iulize katiba yako!
Katiba ipi hiyo ambayo inaruhusu kiongozi wa uma mwenye dola kutangazia uma waziwazi bila hata haya kuwa atapora uchaguzi wananchi watake wasitake?Ni kifungu kipi hicho?
ambayo kwa Sasa hatuna muda Wala resources za kufanikisha hayo kwa Sasa🙏muda muafaka ukifika tutafanya🙏
Mtafanya ninyi akina nani?
 
Pole nyingi sana kwao
 
Mama kapulizia dawa ya rungu katika banda la ufipa mende wanatapatapa, mlikuwa mnansifia sana Baada ya Magufuri kufa mlishangilia mpaka mkafanya sherehe,kuwa dhalimu kafa,Sasa Mama mliokuwa mkimsifia kapiga kwenye utosi kwenyewe, kitu ambacho Magufuri akukifanya pamoja na kutukanwa kote, Mungu kawalipa kwa matusi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…