Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

Kila ubaya utalipwa
 
Hii nchi ngumu sana,hata malaika akishuka leo akajiunga ccm lazima adadilike awe shetani
 
duh!! kumbe bado ni watoto wabichi wanaenda period mpaka leo.

Wafanye kuwatoa hao warembo mapema, nao wanahitajika kutoa huduma mbalimbali kwa watu mbalimbali na kwa familia.
 
Samia ameprove failure mapema mno. Kutumia madaraka yako makubwa kutesa watu wanaokuchallenge ili kuprove how powerful you are sio udhaifu tu, ni ujinga mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…