Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

Mambo ya chachandu mixa nyama lainiii.

Mabeach boys na dunga dunga ndiyo wanapeeeenda mikato hiyo kwenye daladala... hapo ni mwendo wa kubambia tu na kupitiliza vituo. 😎

Daslum raha wewee.

-Kaveli-
 
Ila kwenye haya mausafiri ya umma unaweza kuta umechukua namba ya dem bila hata kupenda..kuna siku nilipanda mwendokasi pale ferry kuna ka mdada kalikua nyuma yangu kalikua na chuchu km sindani yaaan tukikaribia kituo zile chuchu zinanichoma mgongoni yaan ilinibidi nishuke nako shekilango wakati mm nilikua naenda kimara 🤣🤣🤣wake zetu mtusameege tu wakati mwingine shetani anatuletea utam mezani
 
Acha hawa wadada nani alirealize wamama hata wadada baadhi mibonge Yani hawanaga aibu mpande usafiri wa umma anakusugua kabisa na haoni aibu unasogea mpeane nafasi na yeye anakufata anajua umesogea NAE asogee

Au ile amekukuta umekaa kwa siti anavyojitupia na wewe anakuunganisha pwaaa hapo ndio aanze kusettle vizuri afu akiona umereact anakwambia pole😅😅
 
Acha hawa wadada nani alirealize wamama hata wadada baadhi mibonge Yani hawanaga aibu mpande usafiri wa umma anakusugua kabisa na haoni aibu unasogea mpeane nafasi na yeye anakufata anajua umesogea NAE asogee

Au ile amekukuta umekaa kwa siti anavyojitupia na wewe anakuunganisha pwaaa au ndio aanze kusettle vizuri afu akiona umereact anakwambia pole😅😅
Hiyo ya kujirusha nimeshaiexperience hatari sana🤣🤣 af wanafanya kusudi walahi
 
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au mwendokasi) hujavaa nguo yoyote ya ndani (iwe ni underwear or tight) na wakati huo huo ukitambua kwamba kuna msongamano mkubwa kwenye usafiri wa umma.

Au ndo biashara siku hizi zimeahamia kwenye usafiri wa umma? Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni
😎 😎😎
wewe hupendi? wacha tuenjoy mema ya ulimwengu.
 
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au mwendokasi) hujavaa nguo yoyote ya ndani (iwe ni underwear or tight) na wakati huo huo ukitambua kwamba kuna msongamano mkubwa kwenye usafiri wa umma.

Au ndo biashara siku hizi zimeahamia kwenye usafiri wa umma? Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni
😎 😎😎
Mkuu mbona umeandika kwa haraka hivyo? Umemgonga mmoja au nini? Hebu tupe ubuyu vizuri mwamba.
 
Back
Top Bottom