Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

Mambo ya chachandu mixa nyama lainiii.

Mabeach boys na dunga dunga ndiyo wanapeeeenda mikato hiyo kwenye daladala... hapo ni mwendo wa kubambia tu na kupitiliza vituo. ๐Ÿ˜Ž

Daslum raha wewee.

-Kaveli-
 
Ila kwenye haya mausafiri ya umma unaweza kuta umechukua namba ya dem bila hata kupenda..kuna siku nilipanda mwendokasi pale ferry kuna ka mdada kalikua nyuma yangu kalikua na chuchu km sindani yaaan tukikaribia kituo zile chuchu zinanichoma mgongoni yaan ilinibidi nishuke nako shekilango wakati mm nilikua naenda kimara ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃwake zetu mtusameege tu wakati mwingine shetani anatuletea utam mezani
 
Acha hawa wadada nani alirealize wamama hata wadada baadhi mibonge Yani hawanaga aibu mpande usafiri wa umma anakusugua kabisa na haoni aibu unasogea mpeane nafasi na yeye anakufata anajua umesogea NAE asogee


Au ile amekukuta umekaa kwa siti anavyojitupia na wewe anakuunganisha pwaaa hapo ndio aanze kusettle vizuri afu akiona umereact anakwambia pole๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hiyo ya kujirusha nimeshaiexperience hatari sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ af wanafanya kusudi walahi
 
wewe hupendi? wacha tuenjoy mema ya ulimwengu.
 
Mkuu mbona umeandika kwa haraka hivyo? Umemgonga mmoja au nini? Hebu tupe ubuyu vizuri mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ