Wanawake wa Dar hawapishi, ukisubiri akupishe anakupiga kikumbo!

Wanawake wa Dar hawapishi, ukisubiri akupishe anakupiga kikumbo!

Pisha wa mwenzako ipo siku na wenzako watapisha wakwako, ni sawa ukutane na mtu mwenye umri wa mamako anahitaji msaada unasema haumsaidii hajakuzaa! Tukiishi hivyo hatufiki, saidi wangu kesho mi ntasaidia wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema siwezi kumsaidia mama mtu mzima au baba mtu mzima la hasha! Ila siwezi na sitokaa niweze kumpisha mwenye mimba na mtu mzee bila kujali jinsia yake daima.
.
Eti kwa sababu ya mimba, au uzee nimpishe kwenye kiti NO! Uzee sio ugonjwa wala mimba sio ugonjwa.
 
Nina miaka 27 toka nihamie Dar kutoka mkoani. Wanawake wa mikoani hususani kanda ya ziwa wana adabu sana. Ukikutana naye njiani lazima akupishe. Tofauti na wanawake wa Dar hawakupishi. Ukitembea njiani kwa matumaini kwamha huyo mwanamke wa Dar unayekutana naye na yuko kwente saiti yako akupishe basi tegemea kupigwa kikumbo. Hakupishi! Na akikupiga kikumbo hajali......! Yeye anarndelea na safari zake tu.

Sasa tabu yake ni kwamba akiwa kwenye saiti yake anataka umpishe na akiwa kwenye saiti yako anataka umpishe wewe.
Yaani wajeuri na wanadharau sana.

Fanya utafiti kuanzia leo utakubali ninayokwambia. Kwa kumalizia wanawake wa Dar hata salamu ni mpaka umuanze wewe mwanaume. Ukisubiri akuanze kukusalimia atakupita kama hakujui.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi tu watu wote wanaoishi Dar kwa muda mrefu aidha kukulia , wake kwa waume adabu zo hupungua sana ukilinganisha na mikoani ,
Ndio maana utashaangaa baadhi ya watu wazima Dar tena wengi sana wanaishi kwa udanganyifu, utapeli na watu/jamii inajua kabisa huyo ni tapeli lakini kila kukicha anatapeli na anaishi na familia yake kama kawaida, kitu ambacho mikoani ukitapeli mtu mmoja tu ukijulikana unatengwa na ni kashfa kwa familia nzima yenu.

Hayo ndio madhara ya kukaa miji mikubwa hasa DAR, Kwa DAR misikiti imejaa na makanisa yamejaa kila aina ya dini ipo DAR cha ajabu HAKUNA KABISA WAUMINI, HAKUNA KABISA WACHA MUNGU
 
Mbona husemi ninyi tunavyogombania siti kwenye daladala, mwanaume wa dar hakubali eti aachie siti dada/ mama yake akae ila wa mkoani hawanaga ajizi anaweza kukuachia siti ye asimame toka Iringa hadi makambako [emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah mwendo wa masaa manne c mchezo....

am better here
 
Nikiwa nimedetect huyu anayekuja mbele yangu lengo lake ni kupigana kikumbo hua naonyesha kama vile na mimi nataka tupigane kikumbo halafu namkwepa. Hua nacheka wanavyopepesuka.
Hahahahaha....

am better here
 
Back
Top Bottom