Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Sijasema siwezi kumsaidia mama mtu mzima au baba mtu mzima la hasha! Ila siwezi na sitokaa niweze kumpisha mwenye mimba na mtu mzee bila kujali jinsia yake daima.Pisha wa mwenzako ipo siku na wenzako watapisha wakwako, ni sawa ukutane na mtu mwenye umri wa mamako anahitaji msaada unasema haumsaidii hajakuzaa! Tukiishi hivyo hatufiki, saidi wangu kesho mi ntasaidia wako
Sent using Jamii Forums mobile app
.
Eti kwa sababu ya mimba, au uzee nimpishe kwenye kiti NO! Uzee sio ugonjwa wala mimba sio ugonjwa.