Swali rahisi, lakini lenye ubishani wa kutosha kutoka kwa watu mbalimbali humu
Na utofauti wa maoni ya watu humu inategemea na mtu anajibu kutoka kwenye aspect gani
Lakini yoote tisa
Kumi tukirudi kwnye msingi na imani ya dini zetu (haswa sisi wakristu sijui kwa wenzangu wamelizungumziaje)
Kwnye imani ya kikristu...kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa yenywe inachukuliwa kama ni uzinifu na ni dhambi kubwa
Sasa kwa kutumia aspect hii tu
Wale wasichana wanaokataa kufanya sex bfore marriage huenda ni kwa sababu ya aspect tajwa hapo juu
Sema sasa kwa vile ishakua MAZOEA baas tunaona sawa tukizini kabla ya ndoa eti wansema lzma tuhakikishe kwanza kwamba ni productive or not
Lkn wanasahau kuna namna nyingi ya kujua kama mwenzi wako ni productve or not
Mnwza kwnda kwa dktr wa uzaz na akwapima reproduction viability zeenu na wote mkajijua pasipo kufanya sex