Wanawake wa dizaini hii wapo?

Wanawake wa dizaini hii wapo?

Basi M pm na Fuata taratibu Stahiki lakin mkuu jiulize swali moja Je kuna mke wa mtandaoni tena anajinadi kuwa eti amejihifadhi!!!!
Sometimes you can make jokes lakn sitarajii kuja kutafta mke mtandaon mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Swali rahisi, lakini lenye ubishani wa kutosha kutoka kwa watu mbalimbali humu
Na utofauti wa maoni ya watu humu inategemea na mtu anajibu kutoka kwenye aspect gani
Lakini yoote tisa
Kumi tukirudi kwnye msingi na imani ya dini zetu (haswa sisi wakristu sijui kwa wenzangu wamelizungumziaje)
Kwnye imani ya kikristu...kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa yenywe inachukuliwa kama ni uzinifu na ni dhambi kubwa
Sasa kwa kutumia aspect hii tu
Wale wasichana wanaokataa kufanya sex bfore marriage huenda ni kwa sababu ya aspect tajwa hapo juu
Sema sasa kwa vile ishakua MAZOEA baas tunaona sawa tukizini kabla ya ndoa eti wansema lzma tuhakikishe kwanza kwamba ni productive or not
Lkn wanasahau kuna namna nyingi ya kujua kama mwenzi wako ni productve or not
Mnwza kwnda kwa dktr wa uzaz na akwapima reproduction viability zeenu na wote mkajijua pasipo kufanya sex
 
Utajuta kuzaliwa utapo oa kahaba mstaafu Oh mkuu usio binti ambaye hauijui background yake?
siwez kabisaaa yaan kahaba mstaafu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi nataka kuulza eti kuna baadhi ya wanawake kufanya nao mapenzi mpaka uoe? na je inaleta sense kwel!
Hivi selection za hawa wanafunzi wanaoenda kidato cha tano bado tu?? Mawazo mgando haya ni shida sana
 
Back
Top Bottom