Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Humu kuna watu wambea asee yani hata ukila buku ten yake ha ha ha huku mtaani tunajua shkamooni wambea woteWasengerema kweli, eti fulani nishagonga!! Nyokolooo maybe on their dreams!
Kwani PM inalockiwaje?Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM
Humu kuna watu wambea asee yani hata ukila buku ten yake ha ha ha huku mtaani tunajua shkamooni wambea wote
PM no longer stands for Private Message....it stands for Public Message!You gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.
Mie moyo wangu una kufuli afu funguo nimemisplace......Hahaha, afu sasa naja kukutongoza tu, nishachoka. Ili upate cha kuscreenshot!!
Alafu eti wanajiita wanaume, aisee job true true.Humu kuna watu wambea asee yani hata ukila buku ten yake ha ha ha huku mtaani tunajua shkamooni wambea wote
Suna hadi kwa wanaume???Wenyewe wanakuambia, umbea suna!
aisee hii avatar yako ni shida........... supuhiyooNimefunga lkn PM zinakuja sijui kwa nn
Story za huyo mtu sasa fulani kaniomba laki nikampa, fulani kaniomba laki nikampa..... Siku mbili Evelyn nikope buku ten nyooo ukiiila hela yangu we mwanaume wa shoka hata ukiwa unakata roho sikupi πππAlafu eti wanajiita wanaume, aisee job true true.
Eli umechefukwa [emoji28][emoji28]eti umle konzi nimecheka sana yaan nimevuta picha ndio ushaonana nae sijui kakutangazia nnYou gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.
HahahhhhhStory za huyo mtu sasa fulani kaniomba laki nikampa, fulani kaniomba laki nikampa..... Siku mbili Evelyn nikope buku ten nyooo ukiiila hela yangu we mwanaume wa shoka hata ukiwa unakata roho sikupi πππ
Ntachangia hela ya Sanda sio hela ya paracetamol ha ha ha nna roho mbaya shetani anasingiziwa
Yaani ni sheeda sanaaisee hii avatar yako ni shida........... supuhiyoo
Kuna wanaume walisingiziwa uume kwakweli.Story za huyo mtu sasa fulani kaniomba laki nikampa, fulani kaniomba laki nikampa..... Siku mbili Evelyn nikope buku ten nyooo ukiiila hela yangu we mwanaume wa shoka hata ukiwa unakata roho sikupi πππ
Ntachangia hela ya Sanda sio hela ya paracetamol ha ha ha nna roho mbaya shetani anasingiziwa
Hahahaaaaaa!! Kwakweli ni wawili tu.Mie moyo wangu una kufuli afu funguo nimemisplace......
Nitongoze tu usiogope, kama nitascreenshot basi nitatuma kwa watu wawili tu nakuahidi sikutangazi tangazi kwa watu
Niko tayari kwa gharama yeyote niipate supu hiyoo aisee..Yaani ni sheeda sana
Tena booonge la walakini.Suna hadi kwa wanaume???
Mie umbea wa wanawake haunishtui make ndo mambo yetu hayo ila mwanaume mbea kuna walakini
Wala sijachefukwa. Nimekumbuka tu!!Eli umechefukwa [emoji28][emoji28]eti umle konzi nimecheka sana yaan nimevuta picha ndio ushaonana nae sijui kakutangazia nn
Una mihelaa sio uje kulialia humu na kuanzisha threadNiko tayari kwa gharama yeyote niipate supu hiyoo aisee..