Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Naona kumekucha humu.

Wanaume wanaoleta hoja na porojo, mkipeana majina na mie nayaomba ni enjoy kuwachora humu.
 
Alafu eti wanajiita wanaume, aisee job true true.
Story za huyo mtu sasa fulani kaniomba laki nikampa, fulani kaniomba laki nikampa..... Siku mbili Evelyn nikope buku ten nyooo ukiiila hela yangu we mwanaume wa shoka hata ukiwa unakata roho sikupi 😀😀😀
Ntachangia hela ya Sanda sio hela ya paracetamol ha ha ha nna roho mbaya shetani anasingiziwa
 
You gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.
Eli umechefukwa [emoji28][emoji28]eti umle konzi nimecheka sana yaan nimevuta picha ndio ushaonana nae sijui kakutangazia nn
 
Story za huyo mtu sasa fulani kaniomba laki nikampa, fulani kaniomba laki nikampa..... Siku mbili Evelyn nikope buku ten nyooo ukiiila hela yangu we mwanaume wa shoka hata ukiwa unakata roho sikupi 😀😀😀
Ntachangia hela ya Sanda sio hela ya paracetamol ha ha ha nna roho mbaya shetani anasingiziwa
Hahahhhhh
 
Kuna wanaume walisingiziwa uume kwakweli.
 
Back
Top Bottom