Ndio hela gani hyo mtto huwezi mpa aende nayo shuleNdo hiyo hiyo mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa silali asubuhi asubuhi nakumbushiwa..ndo maana kanisamehe ngekewa ili watu wasijue
500 tuu????
huwezi ziona kwa sababu sio Mtu wa system!Hizo screen shoot zinatumwagwa wapi??? Mbona sijawahi kuoziona
Ni dollar 500[emoji1] [emoji1] [emoji23]Ndio hela gani hyo mtto huwezi mpa aende nayo shule
ntumie tu kwenye namba hii0713800800!!Au nikutumie wewe..sababu hazina matumizi tena[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Umeona eenh ulifkili wadada hawakutan na vituko lkn wanaamua kukaa kimya tu sio wao kila siku thread humusasa je
Ushawahi kuona mdada kamuanzishia mkaka thread?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kengeza ndo ubaya jamani
lohh![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Haijawahi kunikuta but nlishawahi kuona sakata Fulani humu....paka behind the scene zote...[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishakukuta nini?
Ila nyie mwananga sana looh!
Mtu kwenye thread anaweka hadi chupi uliyovaa Siku ya tukio!!
Na unamtolea siri zotee wakati utamu mliona wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahh!!Haijawahi kunikuta but nlishawahi kuona sakata Fulani humu....paka behind the scene zote...
Mbaya mnooo. That is why you need to trust no body
Ndio au ukakutana na kaoge au shemale kwahiyo mnatakiwa muwe makiniSema madada wa JF mi cwezi kuwa PM labda niwe namjua personal, maana ID fake na picha fake,unaweza kuta mwanaume mwenzio.
Hahahahh sio mtu wa systeam [emoji28][emoji28]yy apige soga na sisi akalale na mkewehuwezi ziona kwa sababu sio Mtu wa system!
MfyuuuuNi dollar 500[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Hahahhhhntumie tu kwenye namba hii0713800800!!
Wakaka wanaongozaUmeona eenh ulifkili wadada hawakutan na vituko lkn wanaamua kukaa kimya tu sio wao kila siku thread humu
NAUNGA MKONO HOJA WANAWAKE WENYE MULTIPLE ID NI VICHECHE HASWAjapo mimi ni miongoni mwa watajwa hapo juu ila wala sihofii kudabwa ni UPUUZI niliougundua humu tu ndo umenifunza.... ningekuwa KICHECHE basi ningekuwa na msururu wa NEW ID everyday.
Hahaha sasa ukitaka kubwa tutaiscreen shoot....Ndio hela gani hyo mtto huwezi mpa aende nayo shule
hata muandiko utashindwa kujua km me au ke?!Sema madada wa JF mi cwezi kuwa PM labda niwe namjua personal, maana ID fake na picha fake,unaweza kuta mwanaume mwenzio.
Sisi sio watu wa mchezo mchezo 😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eva umenichekesha jamani loohh!!!
hivi unawezaje kuwa na id nyingi? moja yenywe nanga inapaaNAUNGA MKONO HOJA WANAWAKE WENYE MULTIPLE ID NI VICHECHE HASWA
Ahahahaha mkewe??? DuhHahahahh sio mtu wa systeam [emoji28][emoji28]yy apige soga na sisi akalale na mkewe
[emoji28][emoji28][emoji28]ndio mana tunawakwepaHahaha sasa ukitaka kubwa tutaiscreen shoot....