Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

sasa je

Ushawahi kuona mdada kamuanzishia mkaka thread?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kengeza ndo ubaya jamani
lohh![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Umeona eenh ulifkili wadada hawakutan na vituko lkn wanaamua kukaa kimya tu sio wao kila siku thread humu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishakukuta nini?

Ila nyie mwananga sana looh!
Mtu kwenye thread anaweka hadi chupi uliyovaa Siku ya tukio!!

Na unamtolea siri zotee wakati utamu mliona wote
Haijawahi kunikuta but nlishawahi kuona sakata Fulani humu....paka behind the scene zote...
Mbaya mnooo. That is why you need to trust no body
 
Haijawahi kunikuta but nlishawahi kuona sakata Fulani humu....paka behind the scene zote...
Mbaya mnooo. That is why you need to trust no body
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahh!!
hatarii!
watu wabaya sana!!
 
Back
Top Bottom