mmnhhh!!ntajieni jamani hao nyang'au wasiojiewelewa!Wacha kabisa yani. Eti unakuta wanaongea kabisa flani tayari nishapita pale... Hana lolote yule usimwone vile na maneno yao mbofu mbofu kibao
Hahahaaaa humu sitashangaa kukutana na vitu kama hvo. ..unashangaa unatoa shkamoo hiv hiv [emoji23]Ha ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshuka
Naomba nije pm nikutongoze eeHivi humu JF unafata nini PM ya mwanamke ambae hata hujui sura yake, ambae unahisi ni mwanamke waweza kuta ni janaume limechill aisee...kuna vitu vinashangaza sana...
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hiyo NO ya kike au ya kiume?
Sikuhizi sioni hizo I'd zao,sijui wamejificha wapimmnhhh!!ntajieni jamani hao nyang'au wasiojiewelewa!
wasio na haya!
tuanze kukimbia hata pm zao!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] ..
haaaa!
Hodi Hodi nataka nikuingilie PMMnakera na viswaga uchwara na usumbufu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamebadili wanasubiri watule warudi tena!Sikuhizi sioni hizo I'd zao,sijui wamejificha wapi
Au wamebadili labda
Heee ili uwanyime utamummnhhh!!ntajieni jamani hao nyang'au wasiojiewelewa!
wasio na haya!
tuanze kukimbia hata pm zao!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] ..
haaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa humu sitashangaa kukutana na vitu kama hvo. ..unashangaa unatoa shkamoo hiv hiv [emoji23]
Ndo ujue watu sio wastaarabu kabisaInakuwaje wewe una infos nyingi za yanayotokea PM za watu?! Alaaniwe aliegundua screenshot!
Asa ukimpa anatangazaaa...!!Heee ili uwanyime utamu
HIVI NIKIKUSIMAMISHA UCHOCHORONI KWA MARA YA KWANZA UTAKUBALI SI UTAJUA MIE KIBAKA? ILA PUBLIC NDO MPANGO UTASIMAMA NA KUNISIKILIZA THEN TUNACONCLUDE KIROHO SAFI, HAKUNA MAPENZI MAZURI KAMA UMATI WOTE UJUE KUWA YULE NI WAKO KULIKO KUJIFICHA FICHAunatongozaje msichan mbele ya hadhira?
unaonywa unarudia?[emoji57] [emoji57] [emoji57]
asante nimepata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Nimemtumia hivyo hivyo stakagi ujinga
Uyo ni wa kuogopa kama scorpionAsa ukimpa anatangazaaa...!!
haaaaaHIVI NIKIKUSIMAMISHA UCHOCHORONI KWA MARA YA KWANZA UTAKUBALI SI UTAJUA MIE KIBAKA? ILA PUBLIC NDO MPANGO UTASIMAMA NA KUNISIKILIZA THEN TUNACONCLUDE KIROHO SAFI, HAKUNA MAPENZI MAZURI KAMA UMATI WOTE UJUE KUWA YULE NI WAKO KULIKO KUJIFICHA FICHA
Hakuanzisha ha ha ha ni mwanaume ndo maanaHahahhhh akaja kuanzisha thread kakutana na bibi
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]asante nimepata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
ndo tunafunga pm sasaUyo ni wa kuogopa kama scorpion
Karibu bwana Afande.... Nikiscreenshot we nitie virungu tuHodi Hodi nataka nikuingilie PM