Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

A million dollar question, inakuwaje @evalyn salt ana info za kutosha za private messages watu tofauti?
kaka mengine tuwachie baba na mama [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
At the end, ni lazima watu wa integrate huko PM, iwe kiurafiki, kutongozana, kusaidiana kimawazo katika maisha nk.

Muhimu ni kujua nani hasa (japo bado ni anonymous kwako) anaweza kuongea na wewe bila kutoa mambo yenu. Kuna decent women in here, very decent na utaenjoy kuchat nao coz wamekomaa kifikra. Sio kila mtu wa kubadilishana nae mawazo.
 
Mpaka leo bado nachoma mahindi... Yameungua na kuungua sijui kwanini hutokei tu
 
Mpaka leo bado nachoma mahindi... Yameungua na kuungua sijui kwanini hutokei tu
Valentina wewe sio mtu wa mchezo mchezo kabisa, yani wewe nakusalimia tu manake zaidi ya hapo nitapigwa za uso..teh[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
>>WANAFUNGA kwa sababu Hawajazoea mambo ya KIKUBWA >>wamezoea kombolela au cha babaa babaaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…