Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ama kweli huyo mtu kakukera maana sijawahi kukuona umekasirika hivi.Mi natamani mods waturuhusu japo kidogo atajwe tumpe vipande vyake hadharani akome hiyo tabia yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alisema hakupendagi eti unajishaua ha ha ha ha ha ha ha, akasema na watu wawili ambao ni madem zako ushawagonga
[emoji28][emoji28][emoji28]Duh!
Hukupewa umbea kuhusu Ngabu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ha ha dem wako mmoja kahamia kwake ha ha ha hii thread imenifanya niwe cha umbea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oh kumbe naye hanipendagi? Ahahaaa....naona kuna behewa zima la wasiopnipenda humu JF. Vituko!
Halafu mbona alinipunja.....manake listi ya mademu ambayo huwa inasambazwa ina majina kama 10.
Na wewe Shunie unacheka nini? Shauri yako....ngoja na wewe waje wakuingize kwenye hiyo listi yangu....[emoji28][emoji28][emoji28]
Link ya niniNinayo link pm kuna kaka angu mmoja kwenye jukwaa la tech ananitumiaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo bwana wamchukia ngabu kisa.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oh kumbe naye hanipendagi? Ahahaaa....naona kuna behewa zima la wasiopnipenda humu JF. Vituko!
Halafu mbona alinipunja.....manake listi ya mademu ambayo huwa inasambazwa ina majina kama 10.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana wazimu!Alisema hakupendagi eti unajishaua ha ha ha ha ha ha ha, akasema na watu wawili ambao ni madem zako ushawagonga
Ebana eeeh ..duuuh.Ha ha ha ha ha dem wako mmoja kahamia kwake ha ha ha hii thread imenifanya niwe cha umbea
mm Ngabu ata siogopi watajua wenywe wasambaziane au vpNa wewe Shunie unacheka nini? Shauri yako....ngoja na wewe waje wakuingize kwenye hiyo listi yangu....
si hyo version mpyaLink ya nini
Tena wenzio wakiona hivi tunakwotiana ndo kabisaaa...watahitimisha.mm Ngabu ata siogopi watajua wenywe wasambaziane au vp
Af unajua kama tunaharibu uzi?si hyo version mpya
Afu sio dem ni mmaza mmaza, mke wa mtu ππEbana eeeh ..duuuh.
Natamani kweli kumjua huyo demu wangu aliyehamia kwake[emoji120] .
watajua wenywe mm siogopi wasambaziane wakichoka wakalaleTena wenzio wakiona hivi tunakwotiana ndo kabisaaa...watahitimisha.
Wakati hata kufahamiana hatufahamiani.
Kuna vituko vya kipumb.avu sana humu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo bwana wamchukia ngabu kisa.....
tatizo kakaa unatema sana yaii...swaga zile za mambele yaaanii!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana wazimu!
Na mie nimo kwenye kugongwa?[emoji85]Alisema hakupendagi eti unajishaua ha ha ha ha ha ha ha, akasema na watu wawili ambao ni madem zako ushawagonga
tufunge madaAf unajua kama tunaharibu uzi?
Mshaurini mwanaume mwenzenu asiishie kukua mwili na miaka tu... Akue na akiliAma kweli huyo mtu kakukera maana sijawahi kukuona umekasirika hivi.
Nahisi ukiweza kumpata huyo jamaa unaweza hata kumniga na kumparua na kucha.......ukisaidiana na K[emoji3]
Naomba unipm nakupm umefunga [emoji28]Afu sio dem ni mmaza mmaza, mke wa mtu ππ
watajua wenywe mm siogopi wasambaziane wakichoka wakalale