Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ama kweli huyo mtu kakukera maana sijawahi kukuona umekasirika hivi.Mi natamani mods waturuhusu japo kidogo atajwe tumpe vipande vyake hadharani akome hiyo tabia yake
Nahisi ukiweza kumpata huyo jamaa unaweza hata kumniga na kumparua na kucha.......ukisaidiana na K[emoji3]