Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hivi humu JF unafata nini PM ya mwanamke ambae hata hujui sura yake, ambae unahisi ni mwanamke waweza kuta ni janaume limechill aisee...kuna vitu vinashangaza sana...
Ni kurusha tu ndoano kama mvuvi.... Akija sato haya, kikija kidagaa haya, ukipata perege twende, ukipata papa twendeee 😀
 
Back
Top Bottom