fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
That's right! Kuna watu wanajiekewa, hasa watu waliopevuka kifikra.true kabisa kuna watu humu wapo vzr sana I don't regret to know them!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's right! Kuna watu wanajiekewa, hasa watu waliopevuka kifikra.true kabisa kuna watu humu wapo vzr sana I don't regret to know them!!!
Ahsante nshachukulia poaAisee, that was too much. Hivi mtu anaanzaje kuzusha vitu vya kitoto kiasi hicho. Pole, hapo alikosea sana!!
Ntakutajia kwa pm uwe makiniAisee eve nitajie uyo mtu wallah
jaribu mpesa uone kama napo pako locked
Kwanin wanaume Wa huko watsup sijui Facebook wanaruhusa ya kuwaimbisha sisi tuu huku jf ndio haturusiwi. .????Kwahyo lazma uimbishe kwanza sumbai we sio wa mchezo mchezo [emoji28][emoji28]
hawajielewi pata picha familia yake anaiendeshaje sasa?Aisee, that was too much. Hivi mtu anaanzaje kuzusha vitu vya kitoto kiasi hicho. Pole, hapo alikosea sana!!
Ukute anasoma hapa hvyooo!!!Ntakutajia kwa pm uwe makini
Aiseeee...... Haya mambo ya another side ya pm ni mabaya mno....Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Mimi siwezi kuchukulia poa mtu aliyenidhalilisha. I still hold grudges aisee, yani mtu amesoma na ameelimika kabisa anatoa mambo tuliyochat private..nah! Bahati mbaya huwa watu hawaonani, ningemlamba konzi hatari!!Ahsante nshachukulia poa
shame on him!!!Mwanaume na makengele yake mawili
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shotBasi tu urafiki ulikufa la sivyo kama unachat nae ningetumiwa screen shot ha ha ha ha ha ha ha
Anavojichanganya humu lol
Ntashkuru sana ukitutajia na geni wanguNtakutajia kwa pm uwe makini
tatizo lenu nyie matangazo na mascreenshot ndo mana tunaogopa halaf sipo fb ujue nshaifunga nina miaka 2 sasa tumewaachia watto kuleKwanin wanaume Wa huko watsup sijui Facebook wanaruhusa ya kuwaimbisha sisi tuu huku jf ndio haturusiwi. .????
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ukute anasoma hapa hvyooo!!!
Anasubiri tupumzike atulipue!
tatizo lenu humu mkiimbisha..Kwanin wanaume Wa huko watsup sijui Facebook wanaruhusa ya kuwaimbisha sisi tuu huku jf ndio haturusiwi. .????
Navuta picha mitusi uliyomtukana huyo jamaa..Nadhani alijutaHa ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Kwa nini huku-mreport kwa mods? Maana ni kosa kuonyesha conversations ulizofanya na mtu kwenye PM.Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
jitu km hilo unalipotezea tuu!!Kwa nini huku-mreport kwa mods? Maana ni kosa kuonyesha conversations ulizofanya na mtu kwenye PM.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]shame on him!!!
ukute ana watoto kabisa!!
nyau kweli huyoo!!
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shot
Kumbe huko behind the jf kubaya hivi..... DahNavuta picha mitusi uliyomtukana huyo jamaa..Nadhani alijuta
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]tatizo lenu humu mkiimbisha..
sound zikakubali...mkafanya show 'leaders club'
mnaanza kuchafua hali za hewa na ukfikria humu wengine michango yao inaheshimiwa....offcourse .watu wakijua umenila kirahisirahisi
lazima waanze kunidharau na kunishutumu and off course inaumiza sana tu!!
so jifunzeni ukimya tuu!!mtaenjoy na roho zenuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwani humu wapo mbona wanakulana but wapo kimyaaa!!