Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Aiseeee...... Haya mambo ya another side ya pm ni mabaya mno....
 
Mwanaume na makengele yake mawili
shame on him!!!

ukute ana watoto kabisa!!
nyau kweli huyoo!!
Basi tu urafiki ulikufa la sivyo kama unachat nae ningetumiwa screen shot ha ha ha ha ha ha ha
Anavojichanganya humu lol
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shot
 
Kwanin wanaume Wa huko watsup sijui Facebook wanaruhusa ya kuwaimbisha sisi tuu huku jf ndio haturusiwi. .????
tatizo lenu nyie matangazo na mascreenshot ndo mana tunaogopa halaf sipo fb ujue nshaifunga nina miaka 2 sasa tumewaachia watto kule
 
Kwanin wanaume Wa huko watsup sijui Facebook wanaruhusa ya kuwaimbisha sisi tuu huku jf ndio haturusiwi. .????
tatizo lenu humu mkiimbisha..

sound zikakubali...mkafanya show 'leaders club'
mnaanza kuchafua hali za hewa na ukfikria humu wengine michango yao inaheshimiwa....offcourse .watu wakijua umenila kirahisirahisi

lazima waanze kunidharau na kunishutumu and off course inaumiza sana tu!!

so jifunzeni ukimya tuu!!mtaenjoy na roho zenuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

kwani humu wapo mbona wanakulana but wapo kimyaaa!!
 
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Navuta picha mitusi uliyomtukana huyo jamaa..Nadhani alijuta
 
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Kwa nini huku-mreport kwa mods? Maana ni kosa kuonyesha conversations ulizofanya na mtu kwenye PM.
 
shame on him!!!

ukute ana watoto kabisa!!
nyau kweli huyoo!!

[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shot
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom