Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Ally Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.

Na nyie kwanini mfunge PM zenu?
Mtakosa madili ya kutangaza vito vyenu nje ya nchi.
Au ndo Tigo pesa na M-Pesa zenu ziko wazi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu nafunga pm kuna watu wanabore

akaunti imechangia ten posts then anakuja pm...!!

wengine utoto mwingi!!
 
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Duh!

Hukupewa umbea kuhusu Ngabu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom