Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
New version wameweka lkn hamna yo whatsapp zipo whatsapp messenger zipo bado wao tuZitKuwepo wakiweka new version
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New version wameweka lkn hamna yo whatsapp zipo whatsapp messenger zipo bado wao tuZitKuwepo wakiweka new version
Nije msibani ndio, kwanza umenifanya nitupe simu yangu kwa mshtuko mxyuuuUje msibani au?
Khaaa!!!!
Mwanamke una mihemko kama beberu?
Ngachoka
kumbee kama muhusika ana mahitaji makubwa zaidi mje kulialia [emoji28]Tunatoa kulingana na mahitaji ya muhusika.
Haaah haaah niliku miss wewe loljaribu mpesa uone kama napo pako locked
Uwe unacopy huko unazipesti huku kwenye gbNew version wameweka lkn hamna yo whatsapp zipo whatsapp messenger zipo bado wao tu
Ninayo link pm kuna kaka angu mmoja kwenye jukwaa la tech ananitumiagaUwe unacopy huko unazipesti huku kwenye gb
Akaaaa waishie hukoJirani yako Ally Kiba.
Ungefungua Pm, wanaume wangekuletea hiyo habari kwa njia ya Pm
Hapana siyo hivyo, namaanisha kwa sisi wanaume ni mwendo wa kutema mihela tu.kumbee kama muhusika ana mahitaji makubwa zaidi mje kulialia [emoji28]
Nafungua babaWanakosa Bahati mnoo....mtu unaenda pm ili umuombe namba umtumie mpesa bila kuhitaji chochote
Unakuta kablok.....
Hahahhh safiiiiHapana siyo hivyo, namaanisha kwa sisi wanaume ni mwendo wa kutema mihela tu.
[emoji28][emoji28][emoji28]Nafungua baba
Wanaolialia ni watoto, mwanaume unapofanya maamuzi ya kitu huwa haina kujuta [emoji3] [emoji3] [emoji3].kumbee kama muhusika ana mahitaji makubwa zaidi mje kulialia [emoji28]
Safiii aisee [emoji16]Wanaolialia ni watoto, mwanaume unapofanya maamuzi ya kitu huwa haina kujuta [emoji3] [emoji3] [emoji3].
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu nafunga pm kuna watu wanaboreAlly Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.
Na nyie kwanini mfunge PM zenu?
Mtakosa madili ya kutangaza vito vyenu nje ya nchi.
Au ndo Tigo pesa na M-Pesa zenu ziko wazi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntumie basi hela!Wanakosa Bahati mnoo....mtu unaenda pm ili umuombe namba umtumie mpesa bila kuhitaji chochote
Unakuta kablok.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hhahahha.....au wanaogopa tongozo?
Maana humu Jf kuna mabingwa wa tongozo.
Akikuona uko online, kashanawa uso kukufata PM
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji818]Safiii aisee [emoji16]
Duh!Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Alisema hakupendagi eti unajishaua ha ha ha ha ha ha ha, akasema na watu wawili ambao ni madem zako ushawagongaDuh!
Hukupewa umbea kuhusu Ngabu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]