Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Si unalog out ili uweze kuona au na app wanaiban pia?Tarehe 24 Nililetaga mada flani nilikutana nayo narumu, moshi sasa wakaanzza kuniita mi mchawi.
siku hiyo nilifuka volkano kilichofuata nikala ban nikapewa na msala ilikuwa ni matusi. siku ya kutoka kifungoni ndo ikawa tarehe 1/5/2017.
kama na wewe unataka kula ban tukana weeeee nakuambia tukana utashangaa unaambiwa BANNED mpaka mwaka kesho ndo utafunguliwa.
shida yake huwezi kuona kinachoendelea humu
Sorry Gea,, nd yuleyule Geahabibu wa clouds, au majina tu yamefanan…!!Hayakuhusu lakin
Pole kwa tuhuma sky,, ujue nakuheshimu sana , sasa kwa tuhuma hizi dadaangu inabdi umwambie bwana Aleppo akutake ladhi la sivo itakushushia heshima uliyonayo humu jamvini…!!no mkuu
Mkuu nilishtuka kuona jina langu hapo, lakini hatuwezi kuwa wote tunafikiria vitu sawa ndiyo maana kuna warefu na wafupi, weupe na weusi na wanene na wembamba.Pole kwa tuhuma sky,, ujue nakuheshimu sana , sasa kwa tuhuma hizi dadaangu inabdi umwambie bwana Aleppo akutake ladhi la sivo itakushushia heshima uliyonayo humu jamvini…!!
Kweli kabisa mkuu.Pole kwa tuhuma sky,, ujue nakuheshimu sana , sasa kwa tuhuma hizi dadaangu inabdi umwambie bwana Aleppo akutake ladhi la sivo itakushushia heshima uliyonayo humu jamvini…!!
Hata Mimi nahisiahuyu Aleppo anafikiria ki Aleppo Aleppo.
aleppo ana lake jambo, si bure kabsa…!!Kweli kabisa mkuu.
Ila mleta ana kitu anakilenga zaidi ya hizo tuhuma ushuzi.
Kwani huna bundle?si ugoogle tuu?Naww huyu sio pornstar?? Au niww hiyo???
Alikua anastream mpira,eboo we hujui kwenye porn site watu wanafata nini?Katika hiyo porn site ulifata nn???
Au nawe ulienda kuchagua avatar??
Aleppo Aleppo inaelekea una ugonvi na baadhi ya watu. Kama kweli ulikuwa na kusudi la kushughulika na hao watumiaji wa hizo avatar hakukukuwa na sababu ya kutaja wengine na kukiri kuwa wameisha zibadilisha, why mention them anyway. kweli maisha ya ban yalikuwa magumu kwako, ukaona pa kujiliwaza ni porn sites. Yamkini uliyoyaona huko yamekuvuruga, unaporudi tena jf inabidi utulie kwanza ili kusoma mwenendo kuepuka ban nyingine ambayo nadhani itakufanya uwe member wa porn site wa kudumu.Habari za siku yetu wafanyakazi
wiki iliyopita nilikuwa kwenye ban. maisha ya ban magumu sana. ukiingia tu unakutana na kosa lako alafu unapewa siku ya kufunguliwa.
sasa kipindi nikiwa ban nilijikuta naingia kwenye porn site. nilichokutana nacho bana kumbe hawa wanawake wetu wa huku wanazidownload kwenye zile site alafu wanazigeuza ndo avatar zao.
shame on wote. nimewazarau! yaani mmama mzima unaweka porn star avatar.
nitaanza na wachache Valentina, espy alikuwa ameweka akaitoa, Miss Natafuta Everline salt anaitumia mpaka sasa, byongo ameizoom akascale kwenye mdomo, sky eclet FaizaFoxy hii avatar yake nayo niliikuta kule maeneo jje's huyu alikuwa ameiweka sema akaitoa @mahondow huyu anatumia ya kwake. wengine bora wameziondoa nimewaacha
embu mzitoe bana hao pornstar wenu muweke vingine ata katuni basi.
naomba msinimind bana hapa tunarekebishana
jioni njema
Nina amani moyoni cjaona jina lako Ukhty[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
Aleppo Aleppo inaelekea una ugonvi na baadhi ya watu. Kama kweli ulikuwa na kusudi la kushughulika na hao watumiaji wa hizo avatar hakukukuwa na sababu ya kutaja wengine na kukiri kuwa wameisha zibadilisha, why mention them anyway. kweli maisha ya ban yalikuwa magumu kwako, ukaona pa kujiliwaza ni porn sites. Yamkini uliyoyaona huko yamekuvuruga, unaporudi tena jf inabidi utulie kwanza ili kusoma mwenendo kuepuka ban nyingine ambayo nadhani itakufanya uwe member wa porn site wa kudumu.