Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Mleta mada embu leta ushahidi, acha maneno, ,ila kuna wengine umewasingizia mpaka MUNGU anashangaaa
 
Tarehe 24 Nililetaga mada flani nilikutana nayo narumu, moshi sasa wakaanzza kuniita mi mchawi.

siku hiyo nilifuka volkano kilichofuata nikala ban nikapewa na msala ilikuwa ni matusi. siku ya kutoka kifungoni ndo ikawa tarehe 1/5/2017.

kama na wewe unataka kula ban tukana weeeee nakuambia tukana utashangaa unaambiwa BANNED mpaka mwaka kesho ndo utafunguliwa.

shida yake huwezi kuona kinachoendelea humu
Si unalog out ili uweze kuona au na app wanaiban pia?
 
Umewachoma hadharani wenzako walikuwa wanajiongeza kimya kimya,wanaojua avatar huenda PM kujiongeza
 
Pole kwa tuhuma sky,, ujue nakuheshimu sana , sasa kwa tuhuma hizi dadaangu inabdi umwambie bwana Aleppo akutake ladhi la sivo itakushushia heshima uliyonayo humu jamvini…!!
Mkuu nilishtuka kuona jina langu hapo, lakini hatuwezi kuwa wote tunafikiria vitu sawa ndiyo maana kuna warefu na wafupi, weupe na weusi na wanene na wembamba.
 
Pole kwa tuhuma sky,, ujue nakuheshimu sana , sasa kwa tuhuma hizi dadaangu inabdi umwambie bwana Aleppo akutake ladhi la sivo itakushushia heshima uliyonayo humu jamvini…!!
Kweli kabisa mkuu.
Ila mleta ana kitu anakilenga zaidi ya hizo tuhuma ushuzi.
 
Katika hiyo porn site ulifata nn???

Au nawe ulienda kuchagua avatar??
 
Habari za siku yetu wafanyakazi

wiki iliyopita nilikuwa kwenye ban. maisha ya ban magumu sana. ukiingia tu unakutana na kosa lako alafu unapewa siku ya kufunguliwa.

sasa kipindi nikiwa ban nilijikuta naingia kwenye porn site. nilichokutana nacho bana kumbe hawa wanawake wetu wa huku wanazidownload kwenye zile site alafu wanazigeuza ndo avatar zao.

shame on wote. nimewazarau! yaani mmama mzima unaweka porn star avatar.

nitaanza na wachache Valentina, espy alikuwa ameweka akaitoa, Miss Natafuta Everline salt anaitumia mpaka sasa, byongo ameizoom akascale kwenye mdomo, sky eclet FaizaFoxy hii avatar yake nayo niliikuta kule maeneo jje's huyu alikuwa ameiweka sema akaitoa @mahondow huyu anatumia ya kwake. wengine bora wameziondoa nimewaacha

embu mzitoe bana hao pornstar wenu muweke vingine ata katuni basi.

naomba msinimind bana hapa tunarekebishana

jioni njema
Aleppo Aleppo inaelekea una ugonvi na baadhi ya watu. Kama kweli ulikuwa na kusudi la kushughulika na hao watumiaji wa hizo avatar hakukukuwa na sababu ya kutaja wengine na kukiri kuwa wameisha zibadilisha, why mention them anyway. kweli maisha ya ban yalikuwa magumu kwako, ukaona pa kujiliwaza ni porn sites. Yamkini uliyoyaona huko yamekuvuruga, unaporudi tena jf inabidi utulie kwanza ili kusoma mwenendo kuepuka ban nyingine ambayo nadhani itakufanya uwe member wa porn site wa kudumu.
 
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
 
Aleppo Aleppo inaelekea una ugonvi na baadhi ya watu. Kama kweli ulikuwa na kusudi la kushughulika na hao watumiaji wa hizo avatar hakukukuwa na sababu ya kutaja wengine na kukiri kuwa wameisha zibadilisha, why mention them anyway. kweli maisha ya ban yalikuwa magumu kwako, ukaona pa kujiliwaza ni porn sites. Yamkini uliyoyaona huko yamekuvuruga, unaporudi tena jf inabidi utulie kwanza ili kusoma mwenendo kuepuka ban nyingine ambayo nadhani itakufanya uwe member wa porn site wa kudumu.

kuna mmoja alikuwa na avatar nzuri mpaka midume ya huku ikaanza mara njoo pm, ntakufuata pm mara pm inahusu.

sasa niliiona avatar yake kule porn site nikashanga aisehhh

wazibadilishe wawe kama miss chagga Numbisa na wengineo
 
jamani mchukulieni maskini mtoto wa watu..huenda hazimtoshi masikini..ila ni vyema kuweka avatar yako mwenyewe ili kuondokana na aibu za namna hii...samahani kama jina lako ameliandika huyu mkosa adabu...
 
Back
Top Bottom