Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Shauri yako mkuu.

Mazingira haya haya kuna watu wamepata kazi humu, kuna watu wameoa na kuolewa humu humu, kuna watu wamepata mtoto/watoto humu.

Jidanganyeni tu
Ndio Mkuu naelewa na hayo yap
.
ila Swala la kusema unifate na cha Maana PM hali ya kua Haup katika mazingira hayo inakua Ngumu
 
Hahahahahahahaahahhahaha!

Bro me nakunywa chai hapa bhana usitafute nkapaliwa bureeeee. Nakushindaje wewe kwa mfano?? Mimi ntakutajia ID nlizozi-PM na hazijanijibu

Mimi hapa nachukua points bro, ili nikienda iwe moja kwa moja.

Sitaki kutuma PM isijibiwe.

BTW vipi corona huko mkuu? Jana nilikuwa naongea na dreva taxi mmoja wa huko anasema biashara ni ngumu sana sasa hivi.
 
Sasa mtu anakuja na gia ya kutokutaka kujua vyote hivyo unavyosemea hapo. Nani atamjibu sasa.

Hamna cha swaga wala nini hapo na ndio sababu wapo wanaojibiwa PM kiroho safi tu wakati hata hizo swaga hawana.
 
Kweli wewe tajiri wa UPENDO
Ni kwanini wanawake wa Dar hawapendi kuvaa nguo ya ndani? - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakosea sana.
Mimi sitafanya kosa hilo lazima niheshimu na kuendeleza convo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaa Paula Paul, huwezi kufanya vyote kwa panoha, mengine huwa tuna pima upepo ndipo tufunguke, hii inategemea na mapokezi yako
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha kuniangusha Mtani.

Mtani uzee ndiyo unaniangusha mimi.

Maana sisi tumeshazoea kupeana salamu kwanza, kuulizana umeamkaje, majirani, ndugu, kuulizana hali ya hewa, bei za mazao na mifugo, mnada uliopita ilikuwaje nk

And then ndiyo swala la msingi lifate, sasa inaonekana hamtaki hizo mambo.
 
Mimi hapa nachukua points bro, ili nikienda iwe moja kwa moja.

Sitaki kutuma PM isijibiwe.

BTW vipi corona huko mkuu? Jana nilikuwa naongea na dreva taxi mmoja wa huko anasema biashara ni ngumu sana sasa hivi.
Mwanangu hali ngumu huku, today tuna meeting na minister of tourism kwa ile issue alipost Zitto. Let's see

Ila yote kwa yote kila kitu kitakuwa sawa
 
Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,

Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…