Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Hahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.

Toooba!!! Mdomo koma. πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Nimekusamehe lakini sitakusahau
 

Huhuhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!!! Hiyo ndio poa sasa Mtani.

Mbaya ni ile ambayo mtu anakuja huku hataki kuvijua vyote hivyo. πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.

Toooba!!! Mdomo koma. πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Kimtu kinakuja kabisa kinakusalimia vizuri kabisa,
Unaweka mapozi pembeni unakijibu halafu kinakuchunia.! Ni kama kilikuwa kinakupima tu kama utamjibu ama la..!!

tukileta pozi mnatusema, tukiwa wastaarabu tukajibu mnaanza kutu take for granted.! Na tutawachunia mpaka mkome.!
 
Hii ndio nzuri sasa mtu anakusalimia swali linalofuata uko wapi? Yaani ndani ya siku moja anataka kujua unaishi wapi, una miaka mingapi, unafanya kazi gani, una watoto wangapi. Watu wa namna hii hata nikiwajibu huwa wanajibiwa lolote linalokuja kichwani muda huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,

Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Nani huyo anampotezea mrembo kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…