Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?


Kuna mmoja aliniPM picha ya mdada....ikabidi nimuulize hiyo picha ni ya nani?akaninijibu eti ni mimi huyo kwenye picha

Nikabaki hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!JF ina vichaa
 
Kama tumewahi kuwasiliana kabla ndio naweza nikakwambia ukweli kuhusu hali yangu.
Lakini secretary Pompeo anipm Mambo? Nianze kutiririka kwamba "mabaya, nimeamka najisikia vibaya sijui mgongo sijui kichwa" hapana, hata yeye akiwa anaandika "mambo" anategemea tuu jibu litakuwa ni poa.

Halafu Anne mbona mimi ukini pm unanyooka kwenye mada lakini hapa unanigeuka.
 
Kimtu kinakuja kabisa kinakusalimia vizuri kabisa,
Unaweka mapozi pembeni unakijibu halafu kinakuchunia.! Ni kama kilikuwa kinakupima tu kama utamjibu ama la..!!
Hahahaaaa. Lol.

Mdogo wangu mi tukio langu ni la kinyume kabisa. Yaani kuna mtu nilimkosea jukwaani mwenzangu si nikasema nikamtake radhi kwa PM. Weeee sikumbukagi hata kama alinijibu aiseee.

Mana nilikaa baada ya wiki nikaifuta ile PM na kuignore future msgs mana nilikuwa namuona anaandika majukwaani. Daaah.

Sijui ndio alinisamehe au bado mana hata sigongani naye siku hizi. Itokee tu japo nikigongana na comments zake kama ameandika vyenye kunifaa nampaga likes. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
tukileta pozi mnatusema, tukiwa wastaarabu tukajibu mnaanza kutu take for granted.! Na tutawachunia mpaka mkome.!
Hahahahaaa!! Lol.

Mleta uzi asome ulichoandika hapo huenda akaelewa nini umemaanisha mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…