Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Sanaaaa hiiii,sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa!!! Mdogo wangu hapo kwenye red umefanya nimecheka sana hapa lol.

Hakika usemalo na siku zote sisi ni wanadamu na sio malaika. Yabidi nikupunguzie mdogo wangu. Uje nikugee kwa kweli. πŸ˜‚
Naogopa C'ssy roho ya kijinga niliyo nayo ukanipa na nyongeza ya unyenyekevu, sindiyo watanipandia hapo kichwani wanikanyage kanyage!??
 
Controla sijamaanisha pasiwe na salamu, hapana.
Ila nimemaanisha baada ya salamu unganisha tuu dhumuni lako la kunipm.

Basi nahisi siku niki-kupm hautanijibu maana nitaenda moja kwa moja kwenye mada baada ya kutanguliza salam.
wewe hata usiponisalimia ni sawa tu kwasababu,tumeshagongana huku

kwenye ma thread kibao,ukini quote,niki ku quote,reactions,nk nk

ila kuna ile mijitu kwanza hata huna mazoea nalo,linakuparamia as if

mnajuana miaka na miaka aina hyo ndio nisiowataka kabisa yani.
 
Kuna mdada nilimpm baada ya kusalimiana na maongez ya hapa na pale akadai mtungi wa gesi ,gesi yake imeisha anahitaji 180,000/= nikamwambia nitumie namba yako nikutumie naona mpaka leo kakimbia Sasa sijui alitaka nimtumie kwa njia gani[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

kilicho akilini kitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…