Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
amna ukuda me mwenyewe hua najibu hivyo..
na mtu akishaanza kusema niambie aah mood yote ya kumjibu inapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zurri naona umepata code ya ku-uncode komaa mkuu ila pale kwenye mke wa tatu nimecheka sana aseeeTuko pamoja.
Naingia mzigoni rasmi kwa ajili ya mapambano.
amna ukuda me mwenyewe hua najibu hivyo..
na mtu akishaanza kusema niambie aah mood yote ya kumjibu inapotea
Kuliko kuchat na hawa watu wa 'niambie', 'nipe story',bora apotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamjibu poa alafu anakwambia 'niambie'
Ndio hivyo, ila anajua hilo, cha msingi kama ulivyosema kukomaa nae tu.Zurri naona umepata code ya ku-uncode komaa mkuu ila pale kwenye mke wa tatu nimecheka sana aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara ya kwanza umejibu majibu mafupi.Mpaka natetemeka.
HAPANA.
Anhaaaaaa!aah hivi kuna watu wameoa na kuolewa Humu [emoji4][emoji4]
Kivipi yaani???
Haha.!
Kabla ya kunifundisha, tupige kwanza pafu ili kupata ujasiri.!
Naogopa C'ssy roho ya kijinga niliyo nayo ukanipa na nyongeza ya unyenyekevu, sindiyo watanipandia hapo kichwani wanikanyage kanyage!??Hahahahaaa!!! Mdogo wangu hapo kwenye red umefanya nimecheka sana hapa lol.
Hakika usemalo na siku zote sisi ni wanadamu na sio malaika. Yabidi nikupunguzie mdogo wangu. Uje nikugee kwa kweli. 😂
Zurri twende straight kwenye kujibu swali, Umeoa?Wakiona watakwambia usijali Paula Paul .
Ndiyo ujasiri wa kuwajibu kimafia.! 😂Ujasiri wa kujibu ama?😂
Nataka nigombane na Joanah ila bado sijapata sababu za kulianzisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekosa cha kujibuInawezekana umenielewa vibaya, nimemaanisha sijaona chochote ambacho ni special. Kama kuna kitu ulitaka nikione sijakiona badala yake unaweza kunionyesha
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hata usiponisalimia ni sawa tu kwasababu,tumeshagongana hukuControla sijamaanisha pasiwe na salamu, hapana.
Ila nimemaanisha baada ya salamu unganisha tuu dhumuni lako la kunipm.
Basi nahisi siku niki-kupm hautanijibu maana nitaenda moja kwa moja kwenye mada baada ya kutanguliza salam.