Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Ni utoto sana, kuna wale wa "x" badala ya "s" nachafukwa nikiona sms ya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata Mimi huwa nakwazika.
Halafu unamuelekeza mtu kwa upole,hapohapo unamaliza tu kumwambia anakujibu "pow" au "p"
Yaani ukishaniandikia hivyo,hata ungekuwa na mambo gani ya maana ya kuniambia sikujibu Tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Rafiki nikijua njia ya kufika huko PM nitakuja kusubiria zile raba[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo tutumie njia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu unayoitoa ni nzuri, sema humu ndani kuna midundo inabidi uendano nayo la sivyo utavuna mabua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…