Pamoja na mtoa mada kulalamika hajibiwi pm zake, lkn watu wamefunguka yaliyo mioyoni mwao...big up mtoa uzi [emoji123]
Lazima wafunguke maana inaumaPamoja na mtoa mada kulalamika hajibiwi pm zake, lkn watu wamefunguka yaliyo mioyoni mwao...big up mtoa uzi [emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata Mimi huwa nakwazika.
Halafu unamuelekeza mtu kwa upole,hapohapo unamaliza tu kumwambia anakujibu "pow" au "p"
Yaani ukishaniandikia hivyo,hata ungekuwa na mambo gani ya maana ya kuniambia sikujibu Tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi message yake nimeionaje?
Huwaga inauma hii basi tu
Whatsapp inapiga vitiki viwili vya blue lakin KIMYAHuwaga inauma hii basi tu
Mkuu wewe ni jinsia gani?kuna wale Ambao Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point
asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.
Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko
linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie
mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.
Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.
Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM
wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?
nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.
kweli nmeamini sasa wewe umejiunga JF "feb 2020"
Hilo wazo umelitoa wapi!??Naamini unachokiwaza wewe si wazo la kila mtu,Urafiki unachagua Jinsia!?kwani unadhani mwanaume akikutafuta kuna nini kingine zaidi ya kutaka kulala na wewe, hamnaga cha urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yani hata maofisini hamna cha professional relations, ukikaa kilaini unatupiwa nyavu na unalika, ukitaka kuamini hamnaga urafiki btn men n women, simu mbusu au initiate sexual moves uone utafanywa nn
Sent using Jamii Forums mobile app