kuna wale Ambao
Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point
asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.
Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko
linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie
mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.
Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.
Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM
wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?
nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.