Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Yaani hata Mimi huwa nakwazika.
Halafu unamuelekeza mtu kwa upole,hapohapo unamaliza tu kumwambia anakujibu "pow" au "p"
Yaani ukishaniandikia hivyo,hata ungekuwa na mambo gani ya maana ya kuniambia sikujibu Tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
images%20(9).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wale Ambao Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point

asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.

Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko

linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie

mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.

Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.

Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM

wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?

nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.
Mkuu wewe ni jinsia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani unadhani mwanaume akikutafuta kuna nini kingine zaidi ya kutaka kulala na wewe, hamnaga cha urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yani hata maofisini hamna cha professional relations, ukikaa kilaini unatupiwa nyavu na unalika, ukitaka kuamini hamnaga urafiki btn men n women, simu mbusu au initiate sexual moves uone utafanywa nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo wazo umelitoa wapi!??Naamini unachokiwaza wewe si wazo la kila mtu,Urafiki unachagua Jinsia!?

Urafiki wa Mwanaume na mwanamke upo na utazidi kuwepo: Wewe umeamua kuamini haupo, si vibaya ila si kwamba haupo!!

Binafsi nimetengeneza marafiki kadhaa wadada na tumeheshimiana sana na wamekuwa marafiki bora kabisa kwangu na wala hakujawahi kuwepo ama kuzuka Chembe yeyote ya mahusiano ya kimapenzi kati yetu...

Maisha tuyaishi,Tusijibane na Fikra zenye mlengo mmoja!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom