Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,751
- Thread starter
- #341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu aliwahi nijia PM kwa swagg moja ya kimafia,
Nika plan nimvuruge mpaka anyooke yaani aliniboa mpaka nikajiuliza kanionaje huyu!??
Guess how that turns out to be!!? Ni mwaka umetimu mpaka sasa kila tukikumbuka huwa tunacheka sana!!
Ha haaa we baki kwanza na Joanah, Kuna mwenzio nipo nae busy sasa ukiongezeka na wewe nitaharibu mapigo
Usijali..leo nikija ni ku flirt tu,
Japo hapa jeifu ukiflirt na mamanzi jukwaani unaambiwa umewakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimpa salamu dada mmoja piemu akanimbia ishia hapo hapo unataka kuniongeza kwenye list??
Sijarudii tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,
Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Hii inaonekana kweli kabisa ngoja nikomae na mgomvi wangu mmoja hivi, anaweza akawa mke wangu wa tatu.Historia ya humu inaonyesha mkianza kwa ugomvi mnaishia kua wapenzi...jitahidi kugombana nae mkuu lazima mtakua na mwisho mzuriii
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki PM bbyHii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Wanafanya Glenn. Kupima upepo ni kama unataka kutongoza.
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa: Mambo
Mie: poa
Jamaa: Uko poa?
Mie: yeah sijambo
Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.
Mie: Yanaenda vizuri nashukuru
Jamaa: Niambie
Mie: Nipo tu sina mpya
Jamaa: Umevaa nini?
Mie: [emoji849] suruali na t-shirt
Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue
Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaonekana kweli kabisa ngoja nikomae na mgomvi wangu mmoja hivi, anaweza akawa mke wangu wa tatu.
Naingia kazini rasmi.
Tuko pamoja.
Ukiambiwa umekula si unafanya kweli,kwani 'sh' ngapi bhana [emoji16]
Nakusubiri