Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Hahaha unaeleza dhumuni kabisa wakati hata uhakika wa kujibiwa haupo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39]Paula anataka niingie moja kwa moja kwenye mada wakati huenda nataka company tu kwa siku hiyo. Au huenda najaribu kutengeneza mazingira ya kuku-approach, lazima tuanzie mbali jamani mtuvumilieee!!
 
[emoji23] Sawa dada...

Me ntakuja huko chumbani PM... basi... ntakutumia text halafu nibaki nasubiri...
Hilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom