wapo njiani mkuu wanakuja.Poa ngoja waje
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Pole sana kiongozi.
Ngoja tusubirie majibu yao.
Kuna siku nilitaka kuingia PM ya mmoja nilikuta geti la chuma ikabidi nirudi kimya kimya.
Mimi namsubiri huyu afungue[emoji12] [emoji12]Mi sikutaka tu mazoea maana napenda kuchat sasa mtu akija ntamjibu halafu akaleta umbea mwishoni nisutwr bure
Ngoja ipo siku nitarudi tena nione kama geti bado limefungwa.Hapo ndipo wanapopishana na gari za mshahara
Duh kama kuna maombi kama hayo ni usumbufu na dhihakaya kupindukia.Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ
Hkuna dharau nisizopenda km hizoMimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ