Hahhaha lipi jamani yangu ipo wazi mie nifunge ili nigundue nini wakunyumbaTulikua tunasubiri jibu lako wakunyumba
Nimekupenda bure[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina dau bwana we nikimuelewa mtu nampa akijigusa kunipa kifuta jasho poa tu ila wala sio laziiima sema mwanaume lazima ujionyeshe
good news to me.........i dont know what tomorrow brings,,,,,godbless itDuuh! Haya.
Weekend nitakucheck.
Etii. Badala mtu akwambie karibu lunch breakpoint Shunie. We ndo umwambie nashukuru. Kuniuliza nimekula haihusu. Kama vile ukkmwambia sijala atakwambia elfu 50 hii hapa nenda kaleAsante ba mkwe wangu vijana humu wanasalimia sana pm huko utasikia umekula nini kama alikupa hela ya lunch
Mkeo hajambo sana niko nakukuzia ba mkwe wangu mzuri mzuri
Uko vizuri. Mzima lakini?Hahaaaa. Mie niliona marafiki niliowapata wanatosha
Na pia kwa mbaali sikutaka kumkosesha mtu amani hasa pale atakapojitumisha PM halafu mie nikamkalia kimya pasi kumjibu.
Hivyo tu na pia niseme iko wazi kwa wale wachache.
Sema kweli?Hahhaha lipi jamani yangu ipo wazi mie nifunge ili nigundue nini wakunyumba
Nikuje kweliii....!!!?[emoji38][emoji38]Njoo na wewe
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nimekupenda bure
Karibu sanaaAsante njiandae nakuja usiku mnene
Shenzy shenzy kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafi mafi kabisa
Unasema kweli?Hahhaha lipi jamani yangu ipo wazi mie nifunge ili nigundue nini wakunyumba
Kwanza wewe iko wazi tayari waachie ambao hawajajaNikuje kweliii....!!!?[emoji38][emoji38]
Ni baraka kweli ndio mana nimejizoelea mie na masalaam yangu pm kwanguBaraka hizo dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kale ka binti mrembo. Atakaetegeka nake atajua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mtoto ndani ya juba utanitakaa
Wozaaa wozzaa[emoji119][emoji119]Hahhaha lipi jamani yangu ipo wazi mie nifunge ili nigundue nini wakunyumba
Niko pm kwako [emoji16] yule unayenigawia vipii shooUsirudi tena baki huko huko nungwi..[emoji53][emoji53]
babe bwanaaa....[emoji20][emoji20] nungwi kwa nani ss!!?Usirudi tena baki huko huko nungwi..[emoji53][emoji53]
Woooooozeeeeee zaidi ya kihutu mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunawacheka kihutuu [emoji23][emoji23][emoji23]