Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Asante ba mkwe wangu vijana humu wanasalimia sana pm huko utasikia umekula nini kama alikupa hela ya lunch

Mkeo hajambo sana niko nakukuzia ba mkwe wangu mzuri mzuri
Etii. Badala mtu akwambie karibu lunch breakpoint Shunie. We ndo umwambie nashukuru. Kuniuliza nimekula haihusu. Kama vile ukkmwambia sijala atakwambia elfu 50 hii hapa nenda kale
 
Back
Top Bottom