Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Etii. Badala mtu akwambie karibu lunch breakpoint Shunie. We ndo umwambie nashukuru. Kuniuliza nimekula haihusu. Kama vile ukkmwambia sijala atakwambia elfu 50 hii hapa nenda kale
Lakini Mzigua vitu vizuri vinakujaga kwa njia ya kiutani utani sana,sema binadamu wengi tuna tabia tu ya kupuuzia ndio tatizo,usidharau kwanza huwezi ukajua mkuu
 
Etii. Badala mtu akwambie karibu lunch breakpoint Shunie. We ndo umwambie nashukuru. Kuniuliza nimekula haihusu. Kama vile ukkmwambia sijala atakwambia elfu 50 hii hapa nenda kale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndio wanaponishinda eti nimekula nini
 
Lakini Mzigua vitu vizuri vinakujaga kwa njia ya kiutani utani sana,sema binadamu wengi tuna tabia tu ya kupuuzia ndio tatizo,usidharau kwanza huwezi ukajua mkuu
Kweli aiseee. Niliulizwaga unakunywa nini nikasema pale pale nkaombwa namba na vile nshatia vitu nikatoa nikapata laki ya kuongezea kinywaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shogaa unakubali kuwa supa womani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom