Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Lakini Mzigua vitu vizuri vinakujaga kwa njia ya kiutani utani sana,sema binadamu wengi tuna tabia tu ya kupuuzia ndio tatizo,usidharau kwanza huwezi ukajua mkuuEtii. Badala mtu akwambie karibu lunch breakpoint Shunie. We ndo umwambie nashukuru. Kuniuliza nimekula haihusu. Kama vile ukkmwambia sijala atakwambia elfu 50 hii hapa nenda kale