Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ndiwoooo.Wahenga hawaongopi Mzigua maneno matamu humtoa nyoka pangoni, vijana wa sasa wanaona wamerahisishiwa sana kutongoza kwa vile kuna mitandao lakini hawajui mtongozo mtamu ni wa kumvuta mtu kwa maneno mwanana na vitendo