Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji20][emoji20][emoji20]Hamnaa me nimerudishia tuu mlango mkuu,.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana [emoji41]
Heeh hiyo PM ina TV ndani?Ewaaaaaa usisahau na nauli ya kujia pm
Sio woga wala kutojiamini. Unajiepusha na kero zinazoepukikaSasa kuna ulazima kufunga? Unashindwaje kumpa ukweli wake kuwa huwezi kufanya hivyo?
Mnapofunga PM ni ishara ya woga na kutojiamini
WoyoooooooooVibonge katika hali zetu za ubora..[emoji12][emoji12]
Hahahaha, ni vizuri kama umeshathitisha hilo mkuuhajafunga..
Ntakupa ubuyuEbu ninong'oneze huwa anaishia wapi kwingine
pale tabora chebwa chebwa sanaNimefanyaje kaka angu jamani
Hahahahahaa..Uwiiii... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kero kivipi akati ungemwambia ukweli? Mtu mzima anaelewa tu. Kufunga pm ni utotoSio woga wala kutojiamini. Unajiepusha na kero zinazoepukika
Hahah!! Sasa mnagombania wepesi na uzito tuVibonge katika hali zetu za ubora..[emoji12][emoji12]
Mpe pole, msalimu pia sana.Ney mzima kaka
Ana majukum mbali mbali kdogo
Eti ndo anajufunzia kwangu kutumia pm maana hajawahi itumiaIli ukagundue ninii kwa mfano
Ina kila kitu mpaka subwoofer ukujeHeeh hiyo PM ina TV ndani?
Nikagundue hali yakeIli ukagundue ninii kwa mfano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pm za wanawake ni kama milango ya magereza, wanafungua wakiitaji wenyewe wakimaliza wanafunga kuepusha mpishano wa wafungwa.
[emoji20][emoji22][emoji22][emoji20][emoji20][emoji20]
Niko hapa wakunyumba nagonjeka kusubiri ubuyuNtakupa ubuyu
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] soonIna kila kitu mpaka subwoofer ukuje