Ndiwoooo.Wahenga hawaongopi Mzigua maneno matamu humtoa nyoka pangoni, vijana wa sasa wanaona wamerahisishiwa sana kutongoza kwa vile kuna mitandao lakini hawajui mtongozo mtamu ni wa kumvuta mtu kwa maneno mwanana na vitendo
Basi kama ni hivyo ni vizuri mumu maana hapo ni kama mlango u wazi sema anetaka kuingia japo abishe hodi kidongo akiitikiwa anafungua anaingiaHamnaa me nimerudishia tuu mlango mkuu,.
Hahaha ebu weka picha jamani watu tukimbizane humu kila mtu na njia yakeStakki ugomvi mm jamaniii shuuu
Vibonge wazitoVibonge mmekutana sio?
Hahahahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kimalawi
Kumsalimia tu mziguaUnataka ukagundue nini uko pm
HahahahahaaEbu weka picha kibonge mzito
Ebu ninong'oneze huwa anaishia wapi kwingineAcha uongo tena wewe huishii pm tuu [emoji85][emoji85][emoji85]
Ewaaaaaa usisahau na nauli ya kujia pmMgeni njoo mwenyeji apone sio?
hajafunga..Kwani wewe umefunga mumu?
Niko poa mie sijui wewenasikia rahaaa aaaa
kama uko poa
Ney mzima kakalabda...[emoji20][emoji20]
Ney mzima?
Tofauti tofauti tena kuna wengine hata kupost hawapost kazi yao ni kuja pm tu,,nikikupa pm yangu usome utachoka hizo salamsijaelewa vizuri Mama Sab, kwahiyo mtu huyo huyo mmoja ni salamu tu asubuh mchana jioni...[emoji1][emoji1]
Uwiiii... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Acha uongo tena wewe huishii pm tuu [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshachoka mbona.
Karibu sana [emoji41]Siku nikipita nitakuja kukusalimia ni jirani yangu wewe
Vibonge katika hali zetu za ubora..[emoji12][emoji12]Vibonge mmekutana sio?
Ili ukagundue ninii kwa mfanoKumsalimia tu mzigua
Unashindwaje kumwambia huwezi kutuma naked picture?Kusumbua kupo lkn sio mtu anakuomba pic ya utupu
Hizo ni dharau nakaujinga
Mm sifanyi hizo bihashara mbovu
Ht ww najua uwez kukurupuka kutuma pic et umeombwa